Native Bible

Exodus 38:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja,* na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,

Exodus 38:9 in English

Exodus 38:9 · Berean Standard Bible

Then he constructed the courtyard. The south side of the courtyard was a hundred cubits long * and had curtains of finely spun linen,

Context

7Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao. 8Akatengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kutoka kwa vioo vya shaba vilivyotolewa na wanawake waliohudumu pale ingilio la Hema la Kukutania. 9Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja,* na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri, 10pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 11Upande wa kaskazini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.