Kutoka 38:7
Exodus 38:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao.
Exodus 38:7 in English
Exodus 38:7 · Berean Standard Bible
Then he inserted the poles into the rings on the sides of the altar for carrying it. He made the altar with boards so that it was hollow.
Context
5Akasubu pete za shaba za kushikilia ile mipiko kwa ajili ya zile pembe nne za huo wavu wa shaba. 6Akatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuifunika kwa shaba. 7Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao. 8Akatengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kutoka kwa vioo vya shaba vilivyotolewa na wanawake waliohudumu pale ingilio la Hema la Kukutania. 9Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja,* na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.