Native Bible

Exodus 38:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upande wa mwisho wa magharibi ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini* na ulikuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.

Exodus 38:12 in English

Exodus 38:12 · Berean Standard Bible

The west side was fifty cubits long * and had curtains, with ten posts and ten bases. The hooks and bands of the posts were silver.

Context

10pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 11Upande wa kaskazini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 12Upande wa mwisho wa magharibi ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini* na ulikuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 13Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, pia ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini. 14Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano* yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.