Native Bible

Exodus 38:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano* yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

Exodus 38:14 in English

Exodus 38:14 · Berean Standard Bible

The curtains on one side of the entrance were fifteen cubits long,* with three posts and three bases.

Context

12Upande wa mwisho wa magharibi ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini* na ulikuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 13Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, pia ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini. 14Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano* yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. 15Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio la ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. 16Mapazia yote yaliyozunguka ua yalikuwa ya kitani iliyosokotwa vizuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.