Kutoka 36:23
Exodus 36:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Exodus 36:23 in English
Exodus 36:23 · Berean Standard Bible
He constructed twenty frames for the south side of the tabernacle,
Context
21Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi,* na upana wa dhiraa moja na nusu,* 22zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii. 23Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani, 24na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi. 25Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.