Native Bible

Exodus 36:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini

Exodus 36:25 in English

Exodus 36:25 · Berean Standard Bible

For the second side of the tabernacle, the north side, he made twenty frames

Context

23Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani, 24na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi. 25Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini 26na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. 27Wakatengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.