Native Bible

Exodus 35:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.”

Exodus 35:3 in English

Exodus 35:3 · Berean Standard Bible

Do not light a fire in any of your dwellings on the Sabbath day.”

Context

1Mose akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Bwana amewaamuru ninyi mfanye: 2Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya kupumzika kwa Bwana. Yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo ni lazima auawe. 3Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.” 4Mose akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Bwana aliloamuru: 5Toeni sadaka kwa Bwana kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea Bwana sadaka ya dhahabu, fedha na shaba;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.