Native Bible

Exodus 35:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mose akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Bwana amewaamuru ninyi mfanye:

Exodus 35:1 in English

Exodus 35:1 · Berean Standard Bible

Then Moses assembled the whole congregation of Israel and said to them, “These are the things that the LORD has commanded you to do:

Context

1Mose akakusanya jumuiya yote ya Waisraeli na kuwaambia, “Haya ndiyo mambo ambayo Bwana amewaamuru ninyi mfanye: 2Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya kupumzika kwa Bwana. Yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo ni lazima auawe. 3Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.