Kutoka 35:5
Exodus 35:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Toeni sadaka kwa Bwana kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea Bwana sadaka ya dhahabu, fedha na shaba;
Exodus 35:5 in English
Exodus 35:5 · Berean Standard Bible
Take from among you an offering to the LORD. Let everyone whose heart is willing bring an offering to the LORD: gold, silver, and bronze;
Context
3Msiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.” 4Mose akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Bwana aliloamuru: 5Toeni sadaka kwa Bwana kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea Bwana sadaka ya dhahabu, fedha na shaba; 6nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi; 7ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo;* mbao za mshita;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.