Native Bible

Exodus 35:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi;

Exodus 35:6 in English

Exodus 35:6 · Berean Standard Bible

blue, purple, and scarlet yarn; fine linen and goat hair;

Context

4Mose akaiambia jumuiya yote ya Waisraeli, “Hili ndilo Bwana aliloamuru: 5Toeni sadaka kwa Bwana kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea Bwana sadaka ya dhahabu, fedha na shaba; 6nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi; 7ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo;* mbao za mshita; 8mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.