Kutoka 35:20
Exodus 35:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo jumuiya yote ya Waisraeli ilipoondoka mbele ya Mose,
Exodus 35:20 in English
Exodus 35:20 · Berean Standard Bible
Then the whole congregation of Israel withdrew from the presence of Moses.
Context
18vigingi vya hema kwa ajili ya maskani pamoja na ua na kamba zake; 19mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa wakati wa huduma katika mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu kwa ajili ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe watakapokuwa wakihudumu katika kazi ya ukuhani.” 20Ndipo jumuiya yote ya Waisraeli ilipoondoka mbele ya Mose, 21na kila mmoja aliyependa na ambaye moyo wake ulimsukuma alikuja na kuleta sadaka kwa Bwana, kwa ajili ya kazi katika Hema la Kukutania, kwa ajili ya huduma yake yote na kwa ajili ya mavazi matakatifu. 22Wote waliokuwa na utayari, wanaume kwa wanawake, wakaja wakaleta vito vya dhahabu vya kila aina: vipini, vipuli, pete na mapambo. Wote wakatoa dhahabu zao kama sadaka ya kuinuliwa kwa Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.