Kutoka 35:18
Exodus 35:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
vigingi vya hema kwa ajili ya maskani pamoja na ua na kamba zake;
Exodus 35:18 in English
Exodus 35:18 · Berean Standard Bible
the tent pegs for the tabernacle and for the courtyard, along with their ropes;
Context
16madhabahu ya sadaka za kuteketeza pamoja na wavu wake wa shaba, mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote; sinia la shaba pamoja na tako lake; 17pazia la eneo la ua pamoja na nguzo zake na vitako vyake, pazia la ingilio la kwenye ua; 18vigingi vya hema kwa ajili ya maskani pamoja na ua na kamba zake; 19mavazi yaliyofumwa yanayovaliwa wakati wa huduma katika mahali patakatifu, yaani mavazi matakatifu kwa ajili ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe watakapokuwa wakihudumu katika kazi ya ukuhani.” 20Ndipo jumuiya yote ya Waisraeli ilipoondoka mbele ya Mose,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.