Native Bible

Exodus 35:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako;

Exodus 35:11 in English

Exodus 35:11 · Berean Standard Bible

the tabernacle with its tent and covering, its clasps and frames, its crossbars, posts, and bases;

Context

9vito vya shohamu, na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani. 10“Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu Bwana alichoamuru: 11Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako; 12Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia; 13meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.