Kutoka 35:13
Exodus 35:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho;
Exodus 35:13 in English
Exodus 35:13 · Berean Standard Bible
the table with its poles, all its utensils, and the Bread of the Presence;
Context
11Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako; 12Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia; 13meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho; 14kinara cha taa kwa ajili ya mwanga pamoja na vifaa vyake vyote, taa na mafuta kwa ajili ya mwanga; 15madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya maskani;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.