Native Bible

Exodus 35:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia;

Exodus 35:12 in English

Exodus 35:12 · Berean Standard Bible

the ark with its poles and mercy seat, and the veil to shield it;

Context

10“Wote wenye ujuzi miongoni mwenu inawapasa kuja na kutengeneza kila kitu Bwana alichoamuru: 11Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako; 12Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia; 13meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho; 14kinara cha taa kwa ajili ya mwanga pamoja na vifaa vyake vyote, taa na mafuta kwa ajili ya mwanga;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.