Native Bible

Exodus 33:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Mose akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa.

Exodus 33:15 in English

Exodus 33:15 · Berean Standard Bible

“If Your Presence does not go with us,” Moses replied, “do not lead us up from here.

Context

13Ikiwa umependezwa nami, nifundishe njia zako ili nipate kukujua, nami nizidi kupata kibali mbele zako. Kumbuka kuwa taifa hili ni watu wako.” 14Bwana akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.” 15Kisha Mose akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa. 16Mtu yeyote atajuaje kuwa mimi pamoja na watu wako tumepata kibali mbele zako, usipokwenda pamoja nasi? Ni nini kingine kitakachoweza kututofautisha mimi na watu wako miongoni mwa watu wengine wote walio katika uso wa dunia?” 17Bwana akamwambia Mose, “Nitakufanyia jambo lile uliloomba, kwa sababu ninapendezwa nawe, nami ninakujua kwa jina lako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.