Native Bible

Exodus 31:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tazama, nimemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda,

Exodus 31:2 in English

Exodus 31:2 · Berean Standard Bible

“See, I have called by name Bezalel son of Uri, the son of Hur, of the tribe of Judah.

Context

1Ndipo Bwana akamwambia Mose, 2“Tazama, nimemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, 3nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi, 4ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.