Kutoka 31:3
Exodus 31:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi,
Exodus 31:3 in English
Exodus 31:3 · Berean Standard Bible
And I have filled him with the Spirit of God, with skill, ability, and knowledge in all kinds of craftsmanship,
Context
1Ndipo Bwana akamwambia Mose, 2“Tazama, nimemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, 3nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi, 4ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba, 5kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.