Kutoka 30:17
Exodus 30:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Bwana akamwambia Mose,
Exodus 30:17 in English
Exodus 30:17 · Berean Standard Bible
And the LORD said to Moses,
Context
15Matajiri hawatalipa zaidi ya nusu shekeli, nao maskini hawatatoa pungufu wakati mnatoa sadaka kwa Bwana kwa kufanya upatanisho wa nafsi zenu. 16Utapokea fedha ya upatanisho kutoka kwa Waisraeli na uzitumie kwa ajili ya huduma ya Hema la Kukutania. Itakuwa ni ukumbusho kwa Waisraeli mbele za Bwana kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi zenu.” 17Kisha Bwana akamwambia Mose, 18“Tengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kwa ajili ya kunawia. Liweke kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, kisha uweke maji ndani yake. 19Aroni na wanawe watanawa mikono na miguu yao kwa maji yatokayo katika hilo sinia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.