Native Bible

Exodus 27:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini.

Exodus 27:13 in English

Exodus 27:13 · Berean Standard Bible

The east side of the courtyard, toward the sunrise, is to be fifty cubits wide.

Context

11Upande wa kaskazini utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja, nao utakuwa na mapazia, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 12“Upande wa magharibi wa ua utakuwa na upana wa dhiraa hamsini,* nao utakuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi. 13Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini. 14Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. 15Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano* kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.