Native Bible

Exodus 27:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Upande wa magharibi wa ua utakuwa na upana wa dhiraa hamsini,* nao utakuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi.

Exodus 27:12 in English

Exodus 27:12 · Berean Standard Bible

The curtains on the west side of the courtyard shall be fifty cubits wide,* with ten posts and ten bases.

Context

10pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 11Upande wa kaskazini utakuwa na urefu wa dhiraa mia moja, nao utakuwa na mapazia, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. 12“Upande wa magharibi wa ua utakuwa na upana wa dhiraa hamsini,* nao utakuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi. 13Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, ua pia utakuwa na upana wa dhiraa hamsini. 14Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.