Kutoka 26:20
Exodus 26:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kuhusu upande wa kaskazini wa maskani, tengeneza mihimili ishirini
Exodus 26:20 in English
Exodus 26:20 · Berean Standard Bible
For the second side of the tabernacle, the north side, make twenty frames
Context
18Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani, 19kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi. 20Kuhusu upande wa kaskazini wa maskani, tengeneza mihimili ishirini 21na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. 22Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.