Kutoka 26:18
Exodus 26:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Exodus 26:18 in English
Exodus 26:18 · Berean Standard Bible
Construct twenty frames for the south side of the tabernacle,
Context
16Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi* na upana wa dhiraa moja na nusu, 17zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii. 18Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani, 19kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi. 20Kuhusu upande wa kaskazini wa maskani, tengeneza mihimili ishirini
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.