Kutoka 26:16
Exodus 26:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi* na upana wa dhiraa moja na nusu,
Exodus 26:16 in English
Exodus 26:16 · Berean Standard Bible
Each frame is to be ten cubits long and a cubit and a half wide.*
Context
14Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.* 15“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani. 16Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi* na upana wa dhiraa moja na nusu, 17zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii. 18Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.