Native Bible

Exodus 26:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.

Exodus 26:15 in English

Exodus 26:15 · Berean Standard Bible

You are to construct upright frames of acacia wood for the tabernacle.

Context

13Mapazia ya hema yatakuwa na urefu wa dhiraa moja zaidi pande zote, sehemu itakayobaki itaningʼinia pande zote za Hema ili kuifunika. 14Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.* 15“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani. 16Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi* na upana wa dhiraa moja na nusu, 17zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.