Kutoka 26:21
Exodus 26:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Exodus 26:21 in English
Exodus 26:21 · Berean Standard Bible
and forty silver bases—two bases under each frame.
Context
19kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi. 20Kuhusu upande wa kaskazini wa maskani, tengeneza mihimili ishirini 21na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. 22Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani, 23na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.