Kutoka 26:23
Exodus 26:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali.
Exodus 26:23 in English
Exodus 26:23 · Berean Standard Bible
and two frames for the two back corners of the tabernacle,
Context
21na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. 22Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani, 23na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali. 24Katika pembe hizi mbili ni lazima mihimili yake iwe miwili kuanzia chini mpaka juu, na iingizwe kwenye pete moja; mihimili ya pembe hizi mbili itafanana. 25Kwa hiyo itakuwepo mihimili minane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.