Native Bible

Exodus 25:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao.

Exodus 25:8 in English

Exodus 25:8 · Berean Standard Bible

And they are to make a sanctuary for Me, so that I may dwell among them.

Context

6mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri; 7na vito vya shohamu na vito vingine vya thamani vya kuweka kwenye kisibau na kile kifuko cha kifuani. 8“Kisha uwaamuru wanitengenezee mahali patakatifu, nami nitakaa miongoni mwao. 9Tengeneza hema hili na vyombo vyake vyote sawasawa na kielelezo nitakachokuonyesha. 10“Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu,* upana wa dhiraa moja na nusu,* na kimo cha dhiraa moja na nusu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.