Kutoka 23:18
Exodus 23:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu chochote kilicho na chachu. “Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe mpaka asubuhi.
Exodus 23:18 in English
Exodus 23:18 · Berean Standard Bible
You must not offer the blood of My sacrifices with anything leavened, nor may the fat of My feast remain until morning.
Context
16“Utaadhimisha Sikukuu ya Mavuno kwa malimbuko ya mazao yako uliyopanda katika shamba lako.
“Utaadhimisha Sikukuu ya Kukusanya mavuno mwishoni mwa mwaka, unapokusanya mavuno yako toka shambani. 17“Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakuja mbele za Bwana Mwenyezi. 18“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu chochote kilicho na chachu.
“Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe mpaka asubuhi. 19“Utaleta malimbuko bora ya ardhi yako katika nyumba ya Bwana Mungu wako.
“Usimchemshe mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake. 20“Tazama, ninamtuma malaika akutangulie mbele yako akulinde njiani na kukuleta mpaka mahali nilipoandaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.