Kutoka 23:16
Exodus 23:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Utaadhimisha Sikukuu ya Mavuno kwa malimbuko ya mazao yako uliyopanda katika shamba lako. “Utaadhimisha Sikukuu ya Kukusanya mavuno mwishoni mwa mwaka, unapokusanya mavuno yako toka shambani.
Exodus 23:16 in English
Exodus 23:16 · Berean Standard Bible
You are also to keep the Feast of Harvest * with the firstfruits of the produce from what you sow in the field. And keep the Feast of Ingathering * at the end of the year, when you gather your produce from the field.
Context
14“Mara tatu kwa mwaka utanifanyia sikukuu. 15“Utaadhimisha Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu; kwa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu kama nilivyokuagiza. Fanya jambo hili kwa wakati uliopangwa katika mwezi wa Abibu, ndio mwezi wa nne, kwa sababu katika mwezi huo ulitoka Misri.
“Mtu yeyote asije mbele yangu mikono mitupu. 16“Utaadhimisha Sikukuu ya Mavuno kwa malimbuko ya mazao yako uliyopanda katika shamba lako.
“Utaadhimisha Sikukuu ya Kukusanya mavuno mwishoni mwa mwaka, unapokusanya mavuno yako toka shambani. 17“Mara tatu kwa mwaka wanaume wote watakuja mbele za Bwana Mwenyezi. 18“Msitoe damu ya dhabihu kwangu pamoja na kitu chochote kilicho na chachu.
“Mafuta ya mnyama wa sadaka ya sikukuu yangu yasibakizwe mpaka asubuhi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.