Native Bible

Exodus 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mtu yeyote aziniye na mnyama lazima auawe.

Exodus 22:19 in English

Exodus 22:19 · Berean Standard Bible

Whoever lies with an animal must surely be put to death.

Context

17Baba wa msichana akikataa katakata kumpa huyo mtu huyo msichana wake, bado ni lazima huyo mtu atalipa mahari kama inavyostahili malipo ya ubikira. 18“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi. 19“Mtu yeyote aziniye na mnyama lazima auawe. 20“Mtu awaye yote anayemtolea mungu mwingine dhabihu isipokuwa Bwana, lazima aangamizwe. 21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.