Kutoka 22:18
Exodus 22:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi.
Exodus 22:18 in English
Exodus 22:18 · Berean Standard Bible
You must not allow a sorceress to live.
Context
16“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo. 17Baba wa msichana akikataa katakata kumpa huyo mtu huyo msichana wake, bado ni lazima huyo mtu atalipa mahari kama inavyostahili malipo ya ubikira. 18“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi. 19“Mtu yeyote aziniye na mnyama lazima auawe. 20“Mtu awaye yote anayemtolea mungu mwingine dhabihu isipokuwa Bwana, lazima aangamizwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.