Native Bible

Exodus 22:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baba wa msichana akikataa katakata kumpa huyo mtu huyo msichana wake, bado ni lazima huyo mtu atalipa mahari kama inavyostahili malipo ya ubikira.

Exodus 22:17 in English

Exodus 22:17 · Berean Standard Bible

If her father absolutely refuses to give her to him, the man still must pay an amount comparable to the bridal price of a virgin.

Context

15Lakini mwenye mnyama akiwa angalipo na mnyama wake, mwazimaji hatalazimika kumlipa. Kama mnyama alikuwa amekodishwa, fedha iliyolipwa kwa kukodisha inatosha kwa kufidia hasara. 16“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo. 17Baba wa msichana akikataa katakata kumpa huyo mtu huyo msichana wake, bado ni lazima huyo mtu atalipa mahari kama inavyostahili malipo ya ubikira. 18“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi. 19“Mtu yeyote aziniye na mnyama lazima auawe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.