Native Bible

Exodus 21:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,

Exodus 21:23 in English

Exodus 21:23 · Berean Standard Bible

But if a serious injury results, then you must require a life for a life—

Context

21lakini ikiwa mtumwa ataamka baada ya siku moja au mbili, hataadhibiwa, kwa sababu yule mtumwa ni mali yake. 22“Ikiwa watu wawili wanapigana na wakamuumiza mwanamke mjamzito, naye akazaa kabla ya wakati lakini hakuna majeraha makubwa, mhalifu atatozwa mali kiasi cha madai ya mume wa yule mwanamke, na jinsi mahakama itakavyoamua. 23Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai, 24jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, 25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, mchubuko kwa mchubuko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.