Native Bible

Exodus 21:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli:

Exodus 21:1 in English

Exodus 21:1 · Berean Standard Bible

“These are the ordinances that you are to set before them:

Context

1“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli: 2“Kama ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye atakwenda zake pasipo kulipa chochote. 3Kama akija peke yake, atakwenda huru peke yake, lakini kama akija na mke, ataondoka pamoja naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.