Kutoka 21:2
Exodus 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kama ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye atakwenda zake pasipo kulipa chochote.
Exodus 21:2 in English
Exodus 21:2 · Berean Standard Bible
If you buy a Hebrew servant, he is to serve you for six years. But in the seventh year, he shall go free without paying anything.
Context
1“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli: 2“Kama ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye atakwenda zake pasipo kulipa chochote. 3Kama akija peke yake, atakwenda huru peke yake, lakini kama akija na mke, ataondoka pamoja naye. 4Kama bwana wake alimpatia mke naye akamzalia wana au binti, mwanamke pamoja na watoto wake watakuwa mali ya bwana wake na huyo mwanaume ataondoka peke yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.