Native Bible

Exodus 20:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiibe.

Exodus 20:15 in English

Context

13Usiue. 14Usizini. 15Usiibe. 16Usimshuhudie jirani yako uongo. 17Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.