Kutoka 20:13
Exodus 20:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiue.
Exodus 20:13 in English
Exodus 20:13 · Berean Standard Bible
You shall not murder.*
Context
11Kwa kuwa kwa siku sita, Bwana aliumba mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo, lakini akapumzika siku ya saba. Kwa hiyo Bwana akaibariki siku ya Sabato na kuifanya takatifu. 12Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako. 13Usiue. 14Usizini. 15Usiibe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.