Kutoka 20:16
Exodus 20:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usimshuhudie jirani yako uongo.
Exodus 20:16 in English
Exodus 20:16 · Berean Standard Bible
You shall not bear false witness against your neighbor.*
Context
14Usizini. 15Usiibe. 16Usimshuhudie jirani yako uongo. 17Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.” 18Watu walipoona ngurumo na radi, na kusikia mlio wa tarumbeta, na kuuona mlima katika moshi, walitetemeka kwa woga. Wakasimama mbali
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.