Kutoka 17:8
Exodus 17:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waamaleki wakaja na kuwashambulia Waisraeli huko Refidimu.
Exodus 17:8 in English
Exodus 17:8 · Berean Standard Bible
After this, the Amalekites came and attacked the Israelites at Rephidim.
Context
6Huko nitasimama mbele yako karibu na mwamba wa Horebu. Uupige mwamba na maji yatatoka ndani yake kwa ajili ya watu kunywa.” Kwa hiyo Mose akafanya haya mbele ya wazee wa Israeli. 7Naye akapaita mahali pale Masa,* na Meriba* kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu Bwana wakisema, “Je, Bwana yu pamoja nasi au la?” 8Waamaleki wakaja na kuwashambulia Waisraeli huko Refidimu. 9Mose akamwambia Yoshua, “Chagua baadhi ya watu wetu na uende kupigana na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilima nikiwa na fimbo ya Mungu mkononi mwangu.” 10Kwa hiyo Yoshua akapigana na Waamaleki kama Mose alivyomwagiza, nao Mose, Aroni na Huri wakapanda juu ya kilima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.