Esta 7:1
Esther 7:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi mfalme na Hamani wakaenda kula chakula pamoja na Malkia Esta.
Esther 7:1 in English
Esther 7:1 · Berean Standard Bible
So the king and Haman went to dine with Esther the queen,
Context
1Basi mfalme na Hamani wakaenda kula chakula pamoja na Malkia Esta. 2Walipokuwa wakinywa mvinyo katika siku ya pili, mfalme akauliza tena, “Malkia Esta, ni nini haja yako? Utapewa. Ombi lako ni nini? Hata nusu ya ufalme, utapewa.” 3Kisha Malkia Esta akajibu, “Kama nimepata kibali kwako, ee mfalme, tena kama inapendeza utukufu wako, nijalie maisha yangu, hii ndiyo haja yangu. Pia uokoe watu wangu, hili ndilo ombi langu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.