Waefeso 4:26
Ephesians 4:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,
Ephesians 4:26 in English
Ephesians 4:26 · Berean Standard Bible
“Be angry, yet do not sin.”* Do not let the sun set upon your anger,
Context
24mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu. 25Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja. 26Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika, 27wala msimpe ibilisi nafasi. 28Yeye ambaye amekuwa akiiba, asiibe tena, lakini lazima ajishughulishe, afanye kitu kifaacho kwa mikono yake mwenyewe, ili awe na kitu cha kuwagawia wahitaji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.