Waefeso 4:24
Ephesians 4:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu.
Ephesians 4:24 in English
Ephesians 4:24 · Berean Standard Bible
and to put on the new self, created to be like God in true righteousness and holiness.
Context
22Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu, 23ili mfanywe upya roho na nia zenu, 24mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu. 25Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja. 26Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.