Native Bible

Ephesians 4:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja.

Ephesians 4:25 in English

Ephesians 4:25 · Berean Standard Bible

Therefore each of you must put off falsehood and speak truthfully to his neighbor, for we are all members of one another.

Context

23ili mfanywe upya roho na nia zenu, 24mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu. 25Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja. 26Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika, 27wala msimpe ibilisi nafasi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.