Mhubiri 4:11
Ecclesiastes 4:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia, kama wawili wakilala pamoja watapashana joto. Lakini ni vipi mtu aweza kujipasha joto mwenyewe?
Ecclesiastes 4:11 in English
Ecclesiastes 4:11 · Berean Standard Bible
Again, if two lie down together, they will keep warm; but how can one keep warm alone?
Context
9Wawili ni afadhali kuliko mmoja,
kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao: 10Kama mmoja akianguka,
mwenzake atamwinua.
Lakini ni jambo la kuhuzunisha
kwa mtu yule aangukaye
naye hana wa kumwinua! 11Pia, kama wawili wakilala pamoja
watapashana joto.
Lakini ni vipi mtu aweza
kujipasha joto mwenyewe? 12Ingawa mtu mmoja aweza kushindwa,
watu wawili wanaweza
kumkabili adui na kumshinda.
Kamba ya nyuzi tatu
haikatiki kwa urahisi. 13Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.