Mhubiri 3:10
Ecclesiastes 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu.
Ecclesiastes 3:10 in English
Ecclesiastes 3:10 · Berean Standard Bible
I have seen the burden that God has laid upon the sons of men to occupy them.
Context
8wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia,
wakati wa vita na wakati wa amani. 9Mfanyakazi anapata faida gani kutokana na taabu yake? 10Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu. 11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua kwa kina yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho. 12Ninajua kwamba hakuna kitu bora kwa wanadamu kuliko kuwa na furaha na kutenda mema wakati wanapoishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.