Native Bible

Ecclesiastes 3:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfanyakazi anapata faida gani kutokana na taabu yake?

Ecclesiastes 3:9 in English

Ecclesiastes 3:9 · Berean Standard Bible

What does the worker gain from his toil?

Context

7wakati wa kurarua na wakati wa kushona, wakati wa kunyamaza na wakati wa kuzungumza, 8wakati wa kupenda na wakati wa kuchukia, wakati wa vita na wakati wa amani. 9Mfanyakazi anapata faida gani kutokana na taabu yake? 10Nimeona mzigo Mungu alioweka juu ya wanadamu. 11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua kwa kina yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.