Native Bible

Ecclesiastes 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upepo huvuma kuelekea kusini na kugeukia kaskazini, hurudia mzunguko huo huo, daima ukirudia njia yake.

Ecclesiastes 1:6 in English

Ecclesiastes 1:6 · Berean Standard Bible

The wind blows southward, then turns northward; round and round it swirls, ever returning on its course.

Context

4Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele. 5Jua huchomoza na jua huzama, nalo huharakisha kurudi mawioni. 6Upepo huvuma kuelekea kusini na kugeukia kaskazini, hurudia mzunguko huo huo, daima ukirudia njia yake. 7Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena. 8Vitu vyote vinachosha, zaidi kuliko mtu anavyoweza kusema. Jicho kamwe halitosheki kutazama, wala sikio halishibi kusikia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.