Native Bible

Deuteronomy 33:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni* wakati viongozi wa watu walipokusanyika, pamoja na makabila ya Israeli.

Deuteronomy 33:5 in English

Deuteronomy 33:5 · Berean Standard Bible

So the LORD became King in Jeshurun * when the leaders of the people gathered, when the tribes of Israel came together.

Context

3Hakika ni wewe ambaye huwapenda watu, watakatifu wako wote wamo mkononi mwako. Miguuni pako wote wanasujudu na kutoka kwako wanapokea mafundisho, 4sheria ile Mose aliyotupa sisi, tulio milki ya kusanyiko la Yakobo. 5Alikuwa mfalme juu ya Yeshuruni* wakati viongozi wa watu walipokusanyika, pamoja na makabila ya Israeli. 6“Reubeni na aishi, asife, wala watu wake wasiwe wachache.” 7Akasema hili kuhusu Yuda: “Ee Bwana, sikia kilio cha Yuda, mlete kwa watu wake. Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. Naam, uwe msaada wake dhidi ya adui zake!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.