Native Bible

Deuteronomy 30:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wala hakiko ngʼambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?”

Deuteronomy 30:13 in English

Deuteronomy 30:13 · Berean Standard Bible

And it is not beyond the sea, that you should need to ask, ‘Who will cross the sea * to get it for us and proclaim it, that we may obey it?’

Context

11Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. 12Hakiko juu mbinguni, ili uulize, “Ni nani atakayepanda mbinguni kukileta na kututangazia ili tuweze kutii?” 13Wala hakiko ngʼambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?” 14La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii. 15Tazama, naweka mbele yako leo uzima na mafanikio, mauti na maangamizo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.